CECAFA KAGAME CUP 2018: FULL HIGLIGHTS SIMBA 2-1 APR (2/7/2018)

  • 6 years ago
Washambuliaji wapya wawili wa Simba Adam Salamba na Med Kagere leo wamepeleka kilio Kigali baada ya kuweka kimiani magoli mawili dhidi ya mabigngwa wa Rwanda. Huu ni ushindi wa pili mfululizo kwa Simba wakati kikiwa ni kipigo cha pili kwa APR baada ya kupoteza mechi ya awali dhidi ya Singida United.

Recommended