Mikakati Ya Kuimarisha Ujasiriamali Ukanda Wa Afrika Mashariki

  • 2 years ago
Licha Ya Umahiri Mkubwa Wa Mafundi Wa Juakali Katika Maonyesho Yaliyofanyika Jijini Mwanza Nchini Tanzania, Wajasiriamali Waliowakilisha Kenya Walisisitiza Haja Ya Viongozi Nchini Kuweka Mikakati Thabiti Ambayo Itafanikisha Shughuli Za Kibiashara Baina Ya Nchi Sita Zilizoko Ukanda Wa Afrika Mashariki.

Recommended